SILINDE AWEKA WAZI LENGO LA MASHINDANO HAYO
1. Kutekeleza azma ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kukuza vipaji vya michezo kwa kuibua na kuendeleza vipaji
2. Kujenga umoja wakitaifa, mshikamano na upendo baina ya wanafunzi wangali katika umri mdogo
3. Kuimarisha Taaluma ya Michezo kwa wanafunzi ili kuwajengea ujuzi na maarifa na kuwa mahiri wanapoendelea kukua
4. Kujenga umoja, uzalendo na mshikamano miongoni mwa wanafunzi, walimu na wadau wa michezo Nchini
5. Kujenga Ukakamavu na umahiri katika michezo
6. Kujenga, kuibu na kuendeleza vipaji vya wanafunzi wangali bado wachanga
7. Kujenga dhana ya uvumilivu na ustahimilivu.

Post a Comment