Wasanii mbalimbali wa muziki wakitumbuiza baada ya Ufunguzi Rasmi wa Michezo ya Kitaifa ya UMITASHUMTA NA UMISSETA uliofanyika leo Juni 8, 2021 mjini Mtwara.
Ufunguzi huo umefanywa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.
Post a Comment