NDUMBARO NA MAMADOU SAKHO
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Damas Ndumbaro akiwa katika picha ya pamoja na Nyota wa Klabu ya Crystal Palace inayoshiriki ligi kuu ya England (EPL) na timu ya Taifa ya Ufaransa Mamadou Sakho (katikati) Bungeni Jana Jijini Dodoma akiwa ameongozana na Mkewe, Majda Sakho.
Mamadou ni Balozi wa Hiari Utalii Tanzania.
Post a Comment