NDUMBARO AKIZUNGUMZA NA WAJUMBE
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro akizungumza na baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya Benki ya NMB mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya Benki hiyo iliyopo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kikao kilicholenga kujadili namna ya kushirikiana na Benki hiyo katika kuhamasisha Utalii wa ndani kupitia Wateja wa Benki hiyo.
Post a Comment