MPANGO AKUTANA NA RAIS MWINYI, HEMED

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na ujumbe wake akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi wakati alipofika Ofisini kwa Rais Mwinyi Ikulu Zanzibar leo Juni 14, 2021. Makamu wa Rais Dkt. Mpango yupo Visiwani Zanzibar kwa Ziara ya Kikazi ya siku mbili.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla leo Juni 14, 2021. Makamu wa Rais Dkt. Mpango yupo Visiwani Zanzibar kwa Ziara ya kikazi ya siku mbili.

No comments