MPANGO AKIZINDUA KAMPENI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango alivyozindua Kampeni Kabambe ya Uhifadhi na Usafi wa Mazingira pamoja na Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Kampeni Kabambe uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo, ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yenye kaulimbiu ‘Tumia Nishati Mbadala kuongoa Mfumo Ikolojia’.
Post a Comment