ASTON VILLA KUTOA PAUNI MILIONI 33 KWA EMILIANO
Aston Villa wamekubali kulipa dau la Pauni Milioni 33 ambalo ni rekodi ya klabu kwa ajili ya kupata saini ya kiungo Emiliano Buendia kutoka Norwich City
Buendia mwenye umri wa miaka 24 ameshakamilisha vipimo vya afya akiwa kwao Argentina , ada ambayo pia itakuwa rekodi ya mauzo kwa Norwich ambao walikataa ofa ya Arsenal.
Ada hiyo inaweza kuongezeka mpaka kufikia Pauni Milioni 40 . Buendia alifunga magoli 15 na assists 16 msimu uliopita wa Championship .

Post a Comment