MAMADOU SAKHO AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI
Nyota wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho akizungumza na Vyombo vya habari katika mkutano wa Waandishi wa habari uliofanyika Jijini Dodoma ambapo Nyota huyo ameahidi kuwaleta Mastaa wengi wa Soka kuja kutembelea vivutio vya Utalii nchini.
Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari wa Utalii Tanzania.
Post a Comment