NDUMBARO AKIZUNGUMZA NA MAMADOU SAKHO
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro akizungumza na Nyota wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho mara baada ya mkutano na vyombo vya habari uliofanyika Jijini Dodoma ambapo Nyota huyo Sakho ameahidi kuwaleta Mastaa wengi wa Soka kuja kutembelea vivutio vya Utalii nchini. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari wa Utalii Tanzania.
Post a Comment