MAELEKEZO YA SEKTA YA AFYA KWA MAKATIBU TAWALA

Udhibiti wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi, RS na CMT wote wajengewa uwezo ili wafanye ukaguzi wa bidhaa za afya kila robo.

Taarifa ya vizazi na vifo vitokanavyo na uzazi ni lazima viwasilishwe kwenye vikao vya menejimenti vya mkoa na halmashauri.

Kusimamia upatikanaji wa huduma bora katika vituo vya kutolea huduma Kuwasimamia Wakurugenzi wa halmashauri kuwapa posho za kujikimu watumishi wapya wa Afya watakaoajiriwa hivi karibuni wakati wanasubiri kuingizwa kwenye utaratibu wa malipo Serikalini.

Kusimamia kikamilifu moundombinu ya Afya inayoendelea kujengwa katika maeneo mbalimbali Nchi nzima.

No comments