KATIZO LA UMEME MBEZI BEACH LINE YA TG2


Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Wilaya ya Mbezi Beach kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya Jumanne, Juni 22, 2021, Saa 03:00 Asubuhi hadi 10:00 Jioni.

SABABU YA KATIZO:
Maboresho kwenye miundombinu ya usambazaji na usafirishaji umeme pamoja na ubadilishaji wa nguzo za miti (wooden poles) na kuweka nguzo mpya za zege (Concrete).

MAENEO YATAKAYOKOSA UMEME NI:

Salasala Kilimahewa, Kinzudi, Benaco, Mwisho wa Lami, Kunduchi kota za Polisi, Usukumani, Magengeni, Green Acrea, kwa Mtenga, Family Soap, Mbezi Makonde, Jogoo, kwa Dr. Hiza, NSSF, Baraza la mitihani, Ndumbwi, Five Star, Masana Hospital, Interchick, Brigedia Chonjo, Salasala, KKKT, Lugalo, Mlalakua, Survey, Suma JkT Mwenge na maeneo jirani.

TANESCO Wanaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.


No comments