HARMONIZE; LET'S GOO MY BROTHER KILLY
BINAFSI NAISUBIRI SANA HIYO SIKU YA KESHO KWASABABU MIMI NI KATI YA WATU WANAO AMINI KWAMBA WAKATI WA MUNGU NDIO WAKATI SAHIHI.
ILINICHUKUA MUDA & SUBIRA & MAFIKIRIO MENGI SANAA JUU YA SAFARI YA MY BROTHER Killy BAADA TU YA KUNIKABIDHI KUWA NAHODHA WA KUINGOZA SAFARI YAKE .
I'M PROUD OF YOU BROTHER NINACHOWEZA KUSEMA SASA NI WAKATI WAKO SAHIHI ALIO UPANGA MUNGU SUBIRA UVUMILIVU WAKO KUYAKUBALI MABADILIKO KUYAFANYIA KAZI MAPUNGUFU NDO KITU PEKE KINACHOENDA KUISHANGAZA TASNIA YA MUZIKI KESHO PANAPO MAJAALIWA 10:00 ASUBUHI .....!LET'S GO MY BROTHER Killy.
Post a Comment