DEMBELE KUKAA NJE MICHUANO YA EURO2020
Mchezaji wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Ufaransa, Ousmane Dembele atakuwa nje ya michuano ya EURO kutokana na majeraha aliyoyapata katika mchezo dhidi ya Hungary tarehe 11, huku mchez huo ukiisha 1 - 1.
Huu ni mwendelezo wa mzimu mbaya kwa Dembele unaomkumba tangu ahamie Barcelona.
Madaktari wa Barcelona waliwahi kutoa ripoti kuwa, changamoto ya Sheikh Ousmane ni kucheza sana Video games na muda mdogo zaidi wa kupumzika
Hii inaleta athari kubwa kwa afya ya Mchezaji.
Madaktari wa Barcelona waliwahi kutoa ripoti kuwa, changamoto ya Sheikh Ousmane ni kucheza sana Video games na muda mdogo zaidi wa kupumzika
Hii inaleta athari kubwa kwa afya ya Mchezaji.
Post a Comment