WIZARA YA ARDHI LINDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI
Timu ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetua mkoani Lindi kusikiliza changamoto za watumishi wa sekta ya ardhi ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyoanza tarehe 16 Juni 2021 na kufikia kilele hapo kesho Juni 23, 202.
Timu ya Wizara ya Ardhi ikioongozwa na Afisa Utumishi wa Wizara Bi. Mwajabu Masimba imekutana na watumishi wa kada mbalimbali za sekta ya ardhi zinazohusisha Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Lindi na baadhi ya halmashauri za mkoa huo.
Timu hiyo ya Wizara inajumuisha Afisa Mipango Miji kutoka Idara ya Maendeleo ya Makazi Wizara ya Ardhi Makao Makuu Bi. Emile Mwasyoge pamoja na Afisa kutoka Idara ya Upimaji na Ramani Bi. Siri Mrisho.
Wiki ya Utumishi wa Umma imeanza kuadhimishwa tarehe 16 Juni 2021 na inafikia kilele Juni 23, 2021 na kauli mbiu ya mwaka huu ni kujenga afrika tunayoitaka kupitia utamaduni wa uadilifu unaostawisha uongozi wenye maono hata katika mazingira ya mgogoro.

Post a Comment