RONALDO KUONDOKA JUVENTUS

Mchezaji wa Juventus na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo inasemekana anaweza  kuondoka Juventus, na tayari amepata timu anayotaka kwenda, wamekubaliana kila kitu ikiwemo pia kupunguza mshahara, nae ameridhia"

Maneno ya Mwandishi wa karibu na klabu ya Juventus, Fabiano Arbost

No comments