AAMUA KUACHIA NGAZI KUDAI KATIBA MPYA

Zeche Zabroni Rais wa Machinga Network Mkoa wa Iringa ameamua kuachia ngazi ya nafasi yake ili kuunga mkono harakati za kudai Katiba Mpya, Tume huru ya Uchaguzi kupitia operation ya Haki inayoendeshwa na Mwenyekiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz Mikoa mbalimbali nchini.

No comments