ANYWA SUMU KISA KAMALI

Mwanaume mmoja ambae jina lake bado halijajulikana anaeishi Kijiji cha Nkiniziwa Wilyani Nzega, Mkoani Tabora, adaiwa kunywa sumu mara baada ya kupoteza Tsh. 600,000/= kwenye kamali.

Kulingana na shahidi mmoja aitwaye Maico Nzengi inasemekana mara baada ya kupoteza hela hiyo, Marehemu aliamua kuingia ndani na kujifungia, muda mchache baadae walimkuta amekunywa sumu akiwa kitandani.

Mpaka sasa mwili huo umeshazikwa mara baada ya tukio.

No comments