Baada ya Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu kushindwa kuunda serikali mpya ya mseto, rais wa Israeli anaamua kumpaup kiongozi wa upinzani Yair Lapid kuongoza - hatua ambayo inaweza kuonyesha mwisho wa enzi wa Netanyahu.
Lapid sasa ana wiki nne za kuunda serikali mpya.
Post a Comment