TIMU INAYOSHUGHULIKIA JANGA LA COVID-19 INAENDELEA NA KAZI

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa timu ya wataalamu aliyoiunda kushughulikia tatizo la mlipuko wa ugonjwa wa Corona inaendelea na kazi na wanachi watarajia majibu ya timu hiyo kufanyiwa kazi hivi karibuni.

"Natambau waathirika wakubwa wa Corona ni wazee, nimeunda timu ya wataalamu ambayo inaendelea na kazi, italeta majibu na yale yanayowahusu kuhusu kuchukua tahadhali juu yenu tutazingatia ili kuwakinga," alisema

No comments