RAIS SAMIA AWATAKA WAZEE KUIRUDISHA TZ KWENYE MAADILI
Rais Samia amesisitiza haja ya wazee hao na viongozi wa dini kurejesha Taifa katika maadili hususani ya malezi.
" Kama inafikia mzee anafika kwenye chombo cha usafiri mtoto au kijana amekaa na hataki kumpisha, basi tuna dosari kwenye malezi yetu turudi tulikotoka kuwalee watoto kwenye misingi ya maadili," alisema.
Alisema,viongozi wa dini wanao mchango mkubwa katika hatua hiyo, hivyo ni vyema kujielekeza kwenye hotuba za sala siku za ibada zilizojaa mafundisho.

Post a Comment