SPIKA NDUGAI AKIONGOZA KIKAO

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na kupendekeza majina ya wagombea wa nafasi za Wenyeviti wa Bunge pamoja na Mabadiliko ya ratiba ya Mkutano wa tatu wa Bunge kilichofanyika leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

No comments