RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA MABALOZI LEO
Rais Samia Suluhu Hassan apokea hati za utambulisho za Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini katika Ikulu ya Dar Es Salaam leo May 10, 2021
Mabalozi waliowasilisha hati zao ni Mhe. Lebbius Taneni Tobias (Balozi wa Namibia hapa nchini), Mhe. Mary O’Nell (Balozi wa Ireland hapa nchini), Mhe. Dkt. Mehmet Güllüoglu (Balozi wa Uturuki hapa nchini), Mhe. Marco Lombardi (Balozi wa Italy hapa nchini) na Mhe. Ricardo Ambrosia Sampio Mtumbuida (Balozi wa Msumbiji hapa nchini).

Post a Comment