RAIS WA ZANZIBAR KWENYE FUTARI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika futari maalum Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete, Mkoa Kaskazini Pemba. Pia katika hafla hiyo aliambatana na Mke wake Mama Mariam Mwinyi.

No comments