RAIS SAMIA ALIVYOZINDUA KITABU CHA MZEE MWINYI

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azindua Kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi Jijini Dar es Salaam, Jana tarehe 8/05/2021.

No comments