RAIS SAMIA AKIWA AMENYANYUA KITABU CHA MZEE MWINYI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu Kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kukizindua katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam jana tarehe 08 Mei, 2021.
Post a Comment