RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WAFANYABISHARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan na Ujumbe alioambatana nao (Mawaziri na Viongozi wa Taasisi) wakiongea na wafanyabiashara wa Kitanzania na Watanzania waishio Nchini Kenya, mara baada ya kumaliza Kongamano la wafanyabiashara wa Tanzania na Kenya lililofanyika jana tarehe 5 Mei, 2021 Serena Hotel Jijini Nairobi.

No comments