Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiongea na wafanyabiashara na watanzania na Watanzania waishio Kenya, mara baada ya kumaliza Kongamano la wafanyabiashara wa Tanzania na Kenya lililofanyika jana tarehe 5 Mei, 2021 Serena Hotel.
Post a Comment