Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Shukrani kwa Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta kwa ukarimu waliomuonyesha katika Ziara yake hiyo ya siku Mbili Nchini Kenya.
Post a Comment