Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta mara baada ya Ziara yake ya siku Mbili Nchini Kenya kukamilika, leo tarehe 05 Mei, 2021.
Post a Comment