RAIS SAMIA AREJEA NCHINI KUTOKEA KENYA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amerejea Nchini mara baada ya Ziara yake ya siku Mbili kukamilika Nchini Kenya jana Tarehe 05 Mei, 2021.

No comments