PART 2 NA MALISA GJ ✍
Hili ni jambo zuri kwa sababu akiwapa chawa attention watamgeuza Mungu-mtu kama walivyofanya kwa mwendazake. Its obvious mwendazake aliponzwa na chawa. Walijua kucheza na akili yake. Walipomsifu na kumtukuza aliwapa vyeo na kuwalinda. Hii ilisababisha baadhi ya viongozi kukufuru na kumfananisha na Mungu ili tu kulinda vibarua vyao. Mama hataki huu ufala.
5. Mama ameendelea kufundisha kuwa uongozi ni dhamana, hivyo ukipata nafasi ishi vizuri na watu. Nani alijua leo Bashiru angekuwa mbunge asiye na jimbo halafu Chongolo awe Katibu mkuu? Yani leo Bashiru akiitwa na Chongolo anaenda akiwa anatetemeka. Just imagine.!
Nani alitegemea Mkuu wa mkoa (Mndeme) atakuwa Naibu Katibu mkuu, halafu mkuu wa wilaya (Chongolo) awe boss wake? Mama ametoa somo kwamba uongozi ni koti la kuazima na muda wowote mwenye nalo anaweza kulihitaji. Ukiwa kiongozi usiji-mwambafai, usinyanyue mabega, usivimbe kichwa. Lolote linaweza kutokea, wakati wowote.
6. Dr.Cyrilo amesema Mama anaondoa "wahuni" kwenye mfumo. Wale walioamini katika ubabe, mabavu, kuua upinzani, kuteka, na kutaka kusifiwa kila saa. Analeta watu wasio na misimamo mikali lakini wenye akili kubwa. Watu wanaoamini siasa ni ushindani wa hoja sio uadui. Na Chongolo ni miongoni mwa watu hao. Alipokuwa DC Longido na hata Kinondoni alionesha hilo kwa vitendo. Zile kamata kamata za wapizani kwa sababu ya mikutano au vikao vya ndani kwake hazikua na nafasi.
Mwendazake na Bashiru hawakuwahi kuamini katika siasa za ushindani. Ndio maana CCM walifanya mikutano nchi nzima, lakini upinzani wakifanya viako vya ndani wanakamtwa. Mama Samia na Chongolo wanaamini kuwa siasa sio uadui. Kwahiyo hii ni fursa kwa upinzani kushindana na CCM kwa hoja bila kusaidiwa na polisi.
Katika hotuba yake leo, Mama Samia amesema siasa za ushindani ni fursa ya kuchochea maendeleo, na kusisitiza kuwa CCM pamoja na kuwa chama tawala lakini kitashiriki siasa za ushindani kwa usawa. Hii ni habari njema. Tutarajie watu watakua huru kukosoa serikali kwa hoja, bila hofu ya kutekwa, kufungwa wala kupotezwa, kama ilivyokua wakati wa mwendazake.
Kwaheri ukoloni.!!

Post a Comment