RAIS SAMIA ALIVYOWASILI JANA JIJINI MWANZA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA MEI MOSI YALIYOFANYIKA LEO


Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan alivyowasili Jijini Mwanza akitokea Dodoma. Ambae leo hii ni Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya Mei Mosi.Matangazo hayo yalikuwa mbashala kutoka uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kupitia Mitandao yetu ya Kijamii Ikulu mawasiliano Youtube, Tweeter, na Instagram.

No comments