PART 4 NA MWANZA NATUTAL SKIN CARE
Mama aliongoza kundi la watu wasiozidi 8 kwenda kwenye ofisi ya mtaa ambapo mtendaji wa mtaa aliwasili na kuwasikiliza akiwa na viongozi wa ofisi ya mtaa. Hatimaye mtendaji aliruhusu kazi hiyo ifanywe upya na yeye pamoja na viongozi wa mtaa na kundi dogo aliloliongoza mama walitembea barabara kwa barabara kugawa upya majina ya barabara za mtaa wetu.
Mama amekuwa akiwatia moyo na kuwahamasisha wasichana waliopata wakiwa shuleni wasikate tamaa katika kupambania ndoto zao. Suala lilimfanya kuandika kiitwacho "NANI ALAUMIWE?" ili kikatumike katika shule za sekondari Tanzania kama kampeni ya kupambana na mimba kwa wanafunzi.
Kila wakati ninapotazama kazi za mama namsifu na kusema kuwa "MAMA, WEWE NI KIONGOZI."

Post a Comment