NA MWIJAKU

Watu pekee wanaotaka ufanikiwe katika maisha yako walau uwazidi hata wao ni wazazi wako tu basi!!! Wengine wote itafika hatua watakuchukia moyoni, wataumia rohoni na kuwa na wivu kama ukifanikiwa kuwazidi wao.

Ni ukweli ulio dhahiri binadamu hasa Watanzania tuna wivu sana wenzetu wanapofanikiwa. Tambua maisha ni kama mbio.

Kimbia mbio zako na watakie wengine kila la kheri katika mbio zao. Hiyo ni hekima, haiuzwi dukani.

No comments