ANAANDIKA AMAN MARTINS PART 2
Yes, Ktk maisha Mwanadamu hupitia nyakati ngumu pia,,lakini mm nimepitia nyakati ngumu zaidi ktk umri wangu huu ,
Sikuwahi kulalamika wala kusema ukweli juu ya hili jambo popote pale , zaidi ya Kwa Wazazi wangu na ndugu zangu wa karibu,,wala sijawahi kumtuhumu yoyote yule,,,
Hayakuwa maumivu ya kawaida lakini yalibeba Ibra kubwa kwangu,,yalinipa Subira ninayoishi nayo hadi leo,,kipindi kile kilikaribia kuutoa uhai wangu,nilitamani kifo zaidi kuliko uzima ,,labda leo ningekuwa nipo kaburini mida hii,, Shukran sana Mama yangu na aliyekuwa Mama watoto wangu kwa full support yao kwangu,, karama na Vipaji vyangu vilikuwa vishamezwa na Manyangumi na Mapapa,,,,,ila Mungu kwa utukufu wake alikataa!!!
Shukran Mamlaka za kutoa haki hakika walinisafisha na bila upendeleo wowote ule.
Kiukweli sikupenda kuirepost hii article fupi lakini Kwa faida ya Vijana na watu wangu nikasema wacha nishare kdogo magumu tuliyopitia ili itukumbushe maisha kdogo,
Ikitokea nyakati ngumu ktk maisha,,,kwanza zikubali nyakati hzo,,,,kisha Omba Mungu na muweke mbele sana,,,hapo utavuka,, baadae weka juhudi ktk maisha,,,naamini utashinda vita na hzo changamoto Inshallah
Siku moja nikifurahi ntaongelea kila kitu labda nyakati hzo zitakuwa salama zaidi,,,,au naweza kuchagua Tv Station moja kuelezea kiundani jambo hili liliokaribia kuharibu maisha yangu na ya familia yangu.

Post a Comment