GUVIN HUNT AFUTWA KAZI
Kaizer Chiefs wamemaliza mkataba wa kocha Gavin Hunt na kuanza kazi mara moja.
Hunt alijiunga na Amakhosi mnamo Septemba 2020 kabla ya msimu wa 2020/21.
Mpaka Wakati huu, alikuwa ameshasimamia imamia mechi 44 (12W, 17D, 15L) katika mashindano yote.
Makocha Wasaidizi Arthur Zwane na Dillon Sheppard wanatarajia kusimamia timu hiyo kwa muda, mpaka watakapo tangaza Kocha mpya.
Post a Comment