Leo ni siku ya Hedhi Salama Duniani TUNAKUMBUSHWA; “Ni wakati wa kuchukua hatua ili kuhakikisha vifaa vya kujisitiri/taulo za hedhi zinapatikana kwa urahisi na bei nafuu kwa msichana/mwanamke”.
Post a Comment