• HOME
  • BREAKING NEWS
  • TAMTHILIA
  • MICHEZO
  • MATANGAZO
  • CONTACT US

BINAGO BLOG

  • Home
  • Home / Habari / MHAGAMA ATETA JAMBO NA VIONGOZI WA PIT

    MHAGAMA ATETA JAMBO NA VIONGOZI WA PIT

    Bisaya Raphael May 28, 2021 Habari

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Plan International – Tanzania, ofisini kwake jijini Dodoma.

    Ujumbe huo umeongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Plan International – Tanzania Dkt. Mona Girgis, akiwa na Meneja Miradi wa Plan Interanational Tanzania, Peter Mwakabwale, pamoja na Meneja wa Uchechemuzi wa Plan International Tanzania.

    Kupitia kikao hicho, Viongozi hao wa Shirika hilo walipata fursa ya kueleza kwa kina mipango yao ya kushirikiana na serika kwenye shughuli wanazozifanya. Wamebainisha kuwa wanayo miradi wanayo tekeleza katika kuchochea maendeleo ya vijana pamoja na kujumuisha watu wenye Ulemavu kwenye shughuli za maendeleo.

    Katika Mazungumzo hayo Mhe. Mhagama amewahakikishia kuwa serikali ipo tayari kuendelea kushirikiana nao katika mikakati ya maendeleo ya vijana na masuala ya watu wenye ulemavu. Amewaeleza kuwa atawaelekeza Wataalamu wa Ofisi hiyo wakutane na Wataalamu wa shirika hilo ili wapange mipango mikakati ya kushirikiana nao.

    Related Posts

    Habari

    Post a Comment

    No comments

    Subscribe to: Post Comments ( Atom )

    KWA SHEREHE NA SEMINA KARIBU UKUMBI WA LAKE TANGANYIKA, NZEGA-TABORA

    FOOTBALL STORIES

    Follow us

    • Like on Facebook
    • Follow on Twitter
    • Follow on Instagram
    • Subscribe on Youtube

    Popular Posts

    • kusuka na unyoaji katika Biblia
      kusuka na unyoaji katika Biblia
       KAMA MUNGU ALIVYOKWISHA KUWAONYA WANAWAKE ! NDIVYO ALIVYOKWISHA KUWAONYA WANAUME PIA. BWANA YESU asifiwe!😅 Maranatha!😅🙏🏻 N...
    • Je kutoa Mahari ni sawa ktk biblia?
      Je kutoa Mahari ni sawa ktk biblia?
      *https://youtu.be/-P4s8sVq31o* 🤔🤔🤔🤔🤔 *JE NI HALALI KWA MKRISTO KULIPA MAHARI ILI AOE?????* 🤔🤔🤔🤔🤔 . . . Hebu tutazame k...
    • HII NDIO MISINGI YA KANISA LA WASABATO DUNIANI
      HII NDIO MISINGI YA KANISA LA WASABATO DUNIANI
      KANISA LA #SDA LINA MISINGI 28 AMBAYO NI 1.Neno la Mungu 2.Utatu mtakatifu 3.Mungu baba 4.Mungu mwana 5.Roho mtakatifu 6.Uumbaji...

    Labels

    Habari MICHEZO Live injili Tamthilia Kesha la Asubuhi BREAKING NEWS magazeti Matangazo Covid19 Mastaa Viongozi today's quote Lesoni leo Wimbo wa Leo barikiwa Je Wajua? KULFI Bongo Movies Stories TETESI ZA USAJILI

    Facebook

    Created By SoraTemplates | Distributed By Gooyaabi Templates