NATOA PONGEZI KWA WAANDISHI WA HABARI-MSIGWA
Ujumbe wa Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg. Gerson Msigwa kwa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali tarehe 28/05/2021 Jijini Mbeya
Natoa pongezi kwa Maafisa Habari Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali kwa kufanya kazi kubwa ya kuhabarisha umma
Namshukuru sana Katibu Mkuu Dkt.Hassan Abbasi kwa mageuzi aliyofanya katika Idara ya Habari na na kuimarisha Vitengo vya Mawasiliano Serikalini.
Ujumbe wangu kwenu " Dhamira yangu ni kuanzisha Vyombo vyetu vya Habari tukianza na Radio, Runinga na Magazeti ili tuwe na sehemu ya kupeleka kazi zetu kwa sababu maudhui tunayo ya kutosha"
Ni lazima turushe matangazo yetu moja kwa moja (live) pamoja na kuendelea kulinda taswira ya Serikali, nawatakia majukumu mema.

Post a Comment