DKT. PHILIP MPANGO: KATIKA KIPINDI CHANGU CHA UTAWALA SITAKUBARI KUONA WATU WANAUCHEZEA MUUNGANO WETU, WATAKAOUCHEZEA MUUNGANO SITAKUWA MPOLE KWAO6
"Katika kipindi cha miaka 57 ya muungano. Serikali zote mbili zimefanikiwa kutatua changamoto 15 kati ya 25 zilizokuwapo"-Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango
Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amesema katika kipindi cha miaka 57 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar kumepatikana mafanikio lukuki.
Amesema baadhi ya mafanikio hayo ni kuimarika kwa undugu wa damu baina ya wananchi wa pande zote mbili, pia kudumu kwa umoja na mshikamao.
Alitaja mafanikio mengine ni kukua kwa biashara kati ya pande mbili, kukua kwa fursa za kiuchumi na kuzitumia kwa pamoja ikiwano matumizi ya ardhi. Pia kuimarika kwa ulinzi na usalama.
Post a Comment