Nyota wa zamani wa Yanga, AmissiTambwe ameibuka mfungaji boranamba mbili ligi kuu Djibout kwa kufungamagoli 17 kwenye mechi 17 alizocheza.Klabu yake ya AC Polisi imeshika nafasiya pili kwenye ligi hiyo.
Post a Comment