Javier Hernandez amefunga Hat Trick katika ushindi wa goli 3-2 wa LA Galaxy dhidi ya New York Red Bulls usiku wa kuamkia leo katika MLSHii ni Hat Trick yake ya kwanza katika ligi ya soka ya nchini Marekani na ni ya nne katika Career yake."
Post a Comment