sababu za ndoa kuto dumu

Askofu wa Jimbo Katoliki la Singida, Edward Mapunda

Dodoma. Familia zimekuwa chanzo cha kuvuruga ndoa za watoto wao kwa kushindwa kuwapa misingi yenye maadili na misimamo ya kidini.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mtakatifu Ignas wa Loyola, Kanali Protas Nyoni alieleza hayo jana katika semina ya wanandoa iliyofanyika Siku ya Wapendanao katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma

No comments