WACHEZAJI WA SIMBA SC 6 WAACHWA DR CONGO KISA CORONA
Taarifa wachezaji 6 wameachwa Congo sababu ni vyeti vyao vya Covid 19 kuchelewa kufika Airport na kutakiwa kupimwa tena hivyo kulazimika kubaki.
• Wachezaji hao ni Ame Ibrahim, Erasto Nyoni,Jonas Mkude, Rally Bwalya, Ally salimi na Kennedy Juma pamoja na Meneja wa SIMBASC Abbas Ally.
• wachezaji hao wataukosa Mchezo ujao siku ya Alhamisi dhidi ya Biashara kule Musoma huku wakitazamiwa kurudi siku hiyo hiyo ya Alhamisi 🙏.
• Tayari wachezaji hao wameshapimwa na Sasa wanasubiri majibu Upya
#BinagoUPDATES
Post a Comment