#HABARI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema linamshikilia Askofu wa Kanisa la Uamsho la Moravian,Emmaus Mwamakula kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano nchi nzima ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii.#BinagoUPDATES
Post a Comment