WACHEZAJI WA SIMBA KUOGA MINOTI BAADA YA KUIFUNGA AS VITA
Bodi ya wakurugenzi ya Klabu ya Simba kupitia kwa afisa mtendaji wa klabu Hiyo Barbara Gonzalez imetoa fedha milioni 200 kama motisha ya Ushindi kwa wachezaji 27 wa klabu hiyo waliosafiri kwenda DR Congo kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa makundi wa klabu bingwa Afrika (Caf Champion League) dhidi ya As Vita club na klabu ya Simba kushinda kwa goli moja kwa bila (1-0)
MGAWOBUTAKAVYOKUA
Wachezaji 14 waliocheza mchezo huo wale 11 walioanza kikosi cha kwanza na 3 walioingia kutokea bechi watapewa milioni (10) kila mmoja, wachezaji 4 waliokuwa bechi hawakuingia wao watapewa milioni 6 kila mmoja, huku wachezaji 9 ambao hawakuvaa jezi kabsa walikuwa, jukwaani wao watapewa milioni 4 kila mmoja.
#BinagoUPDATES
Post a Comment