Meneja mpya wa Chelsea juu ya Edouard Mendy
• "Edouard Mendy ndiye chaguo langu la kwanza kwa sasa na uamuzi wa mchezo huu (Juzi dhidi ya Newcastle)
ulikuwa umefanywa kumpa mapumziko yanayohitajika, Edo ndiye namba moja na hii ipo wazi"
#BinagoUPDATES
Post a Comment