WACHEZAJI 10 WA PETRO DE LUANDA WAWEKWA KARANTINI

QUARANTINE SIKU 10

Mamlaka nchini Angola imeamua kuwaweka wachezaji wa Petro de Luanda quarantine kwa muda wa siku 10 baada yakurejea kutoka Guinea walipokuwa kwenye mchezo dhidi ya Horoya AC michuano ya CAF Champions League (Petro de Luanda walipoteza game hiyo 2 - 0).
#CCL
#BinagoUPDATES

No comments