Raisi wa FIFA, Gianni Infantino na Secretary wake mkuu Bi. Fatma Samoura walikuwepo kunako dimba la "Stade Municipal de Nouadhibou" huko Mauritania wakishuhudia mchezo uliomalizika apo jana kati ya Ghana U20 v Tanzania U20.
FT Ghana U20 4 - 0 Tanzania U20
#BinagoUPDATES
0 Comments