KLABU YA AZAM FC YAPATA PIGO KUBWA

AZAM YAPATA PIGO KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA SIMBA 

Beki wa Azam FC, Yakubu Mohammed ataukosa mchezo wa 'kiporo' wa Ligi Kuu dhidi ya mabingwa watetezi, Simba kwa sababu ya kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano alizopata katika mechi zilizopita za mzunguko wa kwanza.
#BinagoUPDATES

No comments